
VITU VITANO VYA KUANGALIA UKITAKA KUNUNUA SAA YA MKONONI
saa za mkononi zimekuwa moja ya fashion kwetu hasa wazee wa kupendeza na hata wale wasio wazee wa kupendeza watu wamekuwa wakinunua saa kwa gharama mbalimbali kubwa na ndogo lakini leo nataka nikupe njia tano utakazo tumia kununua saa...