saa 7 za mkononi ambazo  haziingii  maji ziko hapa

saa 7 za mkononi ambazo haziingii maji ziko hapa

saa 7 za mkononi ambazo haziingii maji ziko hapa

ebwana eeh najua ni mara nyingi umekuwa ukijiuliza ni vipi saa ina uwezo wa kuzuia maji yasiingie ndani yake basi leo nakuletea saa 7 ambazo ni water resistant  saa hizi zimewekewa mpira maalumu ambao unazuia maji kuingia ndani kati ya 30meter(hizi kwa ajili ya maji ya kawaida kama mvua) hadi  50meter(hizi ogea nazo au kuogelea nazo..mtandao huu sasa hivi unakupa uwezo wa kuagiza hapa kupitia mtandao na utalipa baada ya saa(mzigo) kufika kizungu cash on delivery ...kuagiza bofya view product  baada ya hapo add to cart  kisha check out kwa kutupa taarifa uko wapi ili tukuletee. UTALIPA MZIGO UKIFIKA  mikoa ifuatayo dar ,arusha,moshi,dodoma,mwanza,mbeya,tanga,zanzbar, na morogoro tu

Previous article JESHINI huvaa saa zenye sifa hizi tano
Next article JE WAJUA SAA ZENYE MOYO KAMA WA BINADAMU

Leave a comment

* Required fields