
JESHINI huvaa saa zenye sifa hizi tano
JESHINI HUVAA SAA ZENYE SIFA HIZI TANO
Leo tutaongelea saa ambazo kwa wengi zinafahamika kama saa za kijeshi ..sio kwamba saa hizi raia wa kawaida havai hapana kila mtu anavaa awe raia au mwanajeshi pia ...saa hizi nyingi zilipendwa kuvaliwa na wanajeshi wamarekani hasa katika vita mbalimbali kama ile ya vietnam 1967 ..walipenda sana kuvaa saa za kampuni ya gshock ila zipo kampuni nyingi hutengeneza saa hizi kama hii smael millitary watch pia na nyingine nyingi....sifa za saa hizi ndo zilizo zilizofanya zikaitwa za kijeshi pia kupendwa na raia wengi pamoja na wanajeshi mpaka makomando na ma engineer wawindaji na wanamichezo .sifa hizo ni
1.KUDUMU(durability)
ukimiliki saa hizi bwana ugumu wake utavaa wewe mpaka mjuu kuu wako au utagawa kwa mfano hii millitary watch ya smael utachoka wewe
2.BATTERY
battery za saa za hizi za millitary hudumu miaka 4 kavu bila kuisha yaani upate iwe original kwenye box lake sio za kununua kwa machinga
3.INA HIMILI MITIKISIKO
unajua tena ili wanajeshi wapende kitu lazima kihimili mitikisiko mara mwanajeshi akijigonga basi saa hii haipasuki hata wewe mtu wa kawaida ukinunua saa hii ukiangusha haipasuki wala kuharibika kama hii smael millitary watch
4.INA SAA MBILI KWENYE SAA MOJA
kama 'hujanilewa ni kwamba saa hizi huwa digital (saa za kimweku mweku) na pia hapo hapo saa za mshale(quartz)hapo unachagua kama unataka kusoma mshale mchana na usiku unatumia kimwekumweku (digital) unaweza bofya hapa kuona mfano millitary double watch
5.RAFIKI NA MAJI AU MATOPE
saa hizi bwana kama wewe ni mzee wa shughuli za kijeshi au shuguli za maji maji kama vile ma engineer basi saa hizi na maji na matope we pita nayo tu 5 atm mfano hii water proof millitary watch
>>>kama utahitaji nisiwe mchoyo unaweza agiza hapo chini nimekuwekea link bofya buy now jaza detail zako basi utapigiwa simu utaletewa ulipo na utalipa saa ikifika mikoa hii dar,arusha,mwanza,moshi,dodoma,mbeya,tanga,zanzbar na morogoro
Comments
Leave a comment