JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZI

JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZI

JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZI
hii saa bana ngoja nikwambie ni saa fulani ya kawaida sana ila imeshavunja record ya mauzo sehemu mbali mbali..afu ni saa fulani simple iko chini ya mfumo wa digital kiswahili saa za kimwekumweku...hii saa bwana tukija kwenye ubabe wake ina nguvu zake za siri ...saa hii ukiunganisha kwenye smart phone yako basi nguvu hizo za siri utakuwa umeziamsha hebu tuonee nguvu za hii saa sasa
1.INAWEZO WA KUHESABU HATUA UNAZOTEMBEA
saa hii bwana ina ufundi wa kuhesabu hatua unazopiga unavyotembea ndo maana wale watu wa mazoezi huzipenda sana hasa wale wanaokimbia kutoka posta wakati wakitoka kazini...yaaani itakuwa inahesabu ya hatua ulizotembea au kukimbia ....achana na hii saa bwana
2.KUHESABU KILOMETER
hii saa baada ya kukupa hatua ulizotembea pia itakwambia bwana mdogo tulia nikwambie hadi kilometer ulizokimbia bila kukudanganya sasa kama ulikimbia nusu kilometer ukazani kilometer moja saa itakwambia bwana mdogo umekimbia nusu kilometer itakuchana live bila chenga haidanganyi
3.KUHESABU NGUVU ULIZOTUMIA KWA SIKU
kwa wale mlio soma mnajua kabisa fika kuwa nguvu za mwili huitwa calories ...sasa kasaa haka kana tabia ya kuhesabu umechoma calories ngapi kwa siku au wakati wa mazoezi kata kuchekii kisha kata sema hiiiiiiiiiiii😄😄(in magufulis voice) afu katakwambia bwana mkubwa leo umetumia nguvu kidogo sana wewe ni mvivu.....wakati wa mazoezi hii
huhesabu calories vizur kabisa...haya kama unafanya mazoez kupungua hii ndo saa
4.CALL AND TEXT REMINDER
hapa kisaa hiki pia hakiko nyuma kwa mfano simu iko chumbani ww uko sebuleni mtu akapiga simu au kutuma meseji basi saa hii itakushtua au kukumbusha kuhusu simu hiyo au meseji
5.HAINGII MAJI
saa hii pia bwana yenyewe na maji ni marafiki wakubwa wa kufa na kuzikana yaaani ukifika bafuni oga nayo mvua ikinyesha pita tu ukifika swimmig poool zama nayoooo tu...bahari kwenye mavimbi safi tu....kwa hiyo saa hii na maji ni marafiki walitukukaa yaaani toka wakiwa wadogo saa hii na maji ni marafiki hivyo usijali kuhusu maji ....ndo uzuri wake....

6.WAPI PA KUIPATA SASA

ebwana mimi hii sasa bila ubishi nilinunua kwenye mtandao kwenye website ya daresalaamshop.com hawa majamaa hawanaga utani wako serious utaletewa saa nyumbani au kokote ulipo kisha wewe ndo unalipia mzigo wako nyumbani hata ukiwa mkoani  utalipia mzigo ukifika ARUSHA ,MOSHI DAR,IRINGA,MBEYA ,DODOMA,TANGA,MWANZA  na mikoa mingine yote utalipia mzigo ukifika huko huko ,hapo chini nimewawekea link ya kununulia ukiipenda agiza hapo 
IMEANDIKWA .nicky clemence: muuza saa wa daresalaamshop

Previous article JE WAJUA SAA ZENYE MOYO KAMA WA BINADAMU
Next article WHY THIS WATCH IS BEST SELLING IN TANZANIA

Comments

Haji Abdalla Hassan - March 28, 2020

Mm nipo zanzibar nitaipatje na je bei yake ni shs ngapi, 0713642200

Haji Andalla Hassan - March 28, 2020

saa hii inauzwaje bei yake na mm nipo znz nitaipataje kama naihitaji?

Frank - August 5, 2018

Hii saa nimeona inasehemu ya kupokelea pamoja na kibox cha sms pia na camera je hizo zinafanya kazi zenyewe katika hiyo saa au unaunganishia na simu ya mkononi ndo zinakuwa suppoted?

Leave a comment

* Required fields