Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania

Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania

Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania
saa za automatic ni saa ambazo miaka ya karibuni zimepata umaarufu hasa kwenye mambo ya fashion ya saa hasa za mtindo wa skeleton kama hiyo juu kwenye picha..  saa za automatic ni saa ambazo hazitumii battery zinajichaji zenyewe kila ukitikisa mkono
  • saa hizi zimekuwa   maarufu  kutoka na sifa zake ambazo ni kama zifuatazo hapo chini
  • HAZITUMII BATTERY

sifa kubwa ya saa hizi hazitumiii battery zenyewe ukivaa  ..jinsi unavyotisa mkono ndivyo zinavyozidi kujichaji  yaani ukiitisha yenyewe ndo chaji yake inaingia ..hakuna haja ya battery

  • HAZIINGII MAJI

saa hizi haziingii maji 3ATM maana yake ni kwamba saa hizi kwenye maji ya mvua haziwezi kuingia  pia maji ya kumwagikiwa bahati mbaya (splash water)

  • ZINAJICHAJI ZENYEWE

Saa hizi zina system za kujichaji zenyewe kupitia gia zake ambapo kuna gia ambayo ukitisa mkono inahifadhi nguvu hizi huitwa gia kuu (main spring) ukiwa na saa hii sahau kununua battery

  • WAPI ZINAPATIKANA NA JINSI YA KUNUNUA

saa hizi zinauzwa na  mtandao wa daresalamshop.com ..kwa hawa jamaa ukiagiza utalipa mzigo ukifika majiji yote Tanzania  arusha, dar mwanza,tanga,mbeya,moshi ,zanzbar,na iringa bofya link hiii kuagizaa bofya 

>>>> skeleton automatic watch for men <<<<< au bofya hapo chini kwenye SHOP NOW  kuagiza jaza address yako dereva ataleta   cash on delivery

Previous article TOP 5 TRENDING WATCHES IN TANZANIA
Next article JESHINI huvaa saa zenye sifa hizi tano

Leave a comment

* Required fields