SABABU 7 KWANINI WATANZANIA WANAIPENDA HII SAA NYEUSI YA SKMEI

SABABU 7 KWANINI WATANZANIA WANAIPENDA HII SAA NYEUSI YA SKMEI

Tanzania ni moja ya nchi ambayo watu wake wengi huvaa saa kwa ajili ya matumizi mbalimbali  kama kuangalia muda au fashion ,pamoja na kuwepo na vifaaa vinavyoweza kuonesha  muda kama  simu na vinginevyo bado matumi ya saa tanzania saa yako pale pale .. ila kuna saa hii mpya ambayo kwa sasa kwenye ulimwengu wa saa nchini tanzania ina trend  hebu tuangalie kwa nini wateja wa saa tanzania wanaipenda saa hii ya skmei black alien

  1. fashion yake ilivyo :   saa hii ina fashion ya tofauti sana kwa sababu haina mishale ina muundo maalamu wa kuangalia muda wake hivyo kufanya iwe tofauti sana

  2. water proof:  pia saa bwana imevunja rekodi ya kuwa saa ya kawaida ina uwezo wa kuingia chini ya maji meter 50 bila kuingia maji saa hii kiboko bwana
  3. battery life : saa hii battery yake ni ngumu kama roho ya paka battery hii huwa linakaa mpaka miaka mitatu bila kuisha hivyo  kuifanya saa hii kuwavutia sana wateja 
  4. stainless steel: saa imetengenezwa na chuma cha stainless steel hivyo kutu wa kuchubuka kwenye saaa hii haiwezi kutokea labda sijui ufanye nini
  5. imetengenezwa japan: kama unavyojua watalaam wa saa quartz dunian ni hivyo saa hii imetengenezwa huko  ndo maana iko unique pia ni ngumu sana
  6. warranty zake ni 1 mwaka : hivyo kutokana na ugumu wa saa hii  wauzaji wake lazima wakupe warranty ya mwaka mmoja yaani jiinsi wanavyoaamini  ugumu wa saa hii wakuu wanakupa 1 year warranty
  7. pia original : saa hii bwana ni original kabisa inakuja full boxed ndo maana watu huipenda sio saa inakuja tu hata box haina saa hii huja na box lake original  

JINSI YA KUIPATA   SAA HII UNAIPATA AGIZA HAPO CHINI NA UTALIPA MZIGO UKIFIKA 

Previous article VITU VITANO VYA KUANGALIA UKITAKA KUNUNUA SAA YA MKONONI
Next article WHY BLUETOOTH SMARTWATCH SKMEI IS SO FAMOUS IN TANZANIA

Comments

Victoria Jonathan Machunde - November 23, 2019

I need this watch, what is the transport cost? Am from Arusha

Victoria Jonathan Machunde - November 23, 2019

I need this watch, its how much and the transport cost?

Shabani Kombo - August 9, 2019

Naihitaji hii saa. Nipo Mbeya mjini

Shabani Kombo - August 9, 2019

Naihitaji hii saa. Nipo Mbeya mjini

victor kagina - April 26, 2019

saa za kurekodi voice na kuchukua picha naweza pata?

Anna - April 23, 2019

Leaving dodoma i need this watch

yakub kambi - April 23, 2019

we need one center of buying watch

yakub kambi - April 23, 2019

what I can say today is actually it will be much better to have all this at one center ,then we will come to see and buy

Leave a comment

* Required fields