
VITU VITANO VYA KUANGALIA UKITAKA KUNUNUA SAA YA MKONONI
saa za mkononi zimekuwa moja ya fashion kwetu hasa wazee wa kupendeza na hata wale wasio wazee wa kupendeza watu wamekuwa wakinunua saa kwa gharama mbalimbali kubwa na ndogo lakini leo nataka nikupe njia tano utakazo tumia kununua saa na kupata saa unahitaji simple
1.ANGALIA SIZE YA MKONO WAKO
hapa ndo watu hushindwa ukiwa na mkono mdogo sana hakikisha mkono na saa yako unaenda saa ndogo kwa mkono mdogo saa kubwa kwa mkono mkubwa
2.MATUMIZI YA SAA
siku hizi kuna saa za mazoezi saa za fashion tu saa za kazini hasa kazi ngumu sasa wewe lazima ujue hii saa nanunua ya nini sio
3.BRAND YA SAA
hapa sasa yategemea budget zako kama budget yako ndogo unaweza kununu brand za ki asia kama skmei au tevise kama ww uko vizuri unaweza kununua swiss watch kama rolex , omega etc...
4.WATER RESISTANT
hapa unacheke uwezo wa saa kuzia maji kuna saa zinazuia maji ya mvua tu lakini zipo ambazo hapa kuogelea unaenda nazo hapa utasoma nyuma ya mfuniko wa saa husika kuna maelezo yake juu ya uwezo wa kuzuia maji
5.MKANDA WA SAA
kuna watu wana aleji na vitu vya chuma chuma hivi...so hapa ni wewe kuchagua ngozi au mkanda wa chuma kuwa makini huku ukijua kama una aleji au laa
hapa chini nimekuwekea saa ambayo unaweza kuvaa saa hii ni simple na inaongoza kwa mauzo ni saa ambayo ina weusi fulani na style ya mikanda yake adjustable yaaani kila mtu anavaa na uzuri ukiagiza tunaletea hadi mlangoni kisha ndo unalipa mzigo wako
Comments
Leave a comment