DARTRACK GPS tracker

by daresalaamshop.com
Save 50%
398,000.00 TZS
199,000.00 TZS

A GPS TRACK DEVICE FOR CAR TRACK

 

DAR TRACK GPS TRACKER;this is gps device which every car owner must posses.it will help to track your car with real time gps tracking system when your car got stolen..this device is among of cheap gps tracker in Tanzania and it working very well and many companies a,private people and small business trust our device

FAIDA YA HIKI KIFAA GPS TRACKER

wezi wa magari; hiki kifaa ndo dawa number moja ya wezi wa magari yaaani wewe wakivamia tulia waachie tu utachofanya wewe utatrack gari  lako kupitia simu yako nakujua gari lilipo hadi nyumba gari /pikipiki/au bajaj  ilipopaki...yaaani hapa wezi wajipange maaana kifaa hichi ni kidogo na ufungwa kwa kufichwa sana. 

pia ukinunua kifaa hiki utaweza kujua mtu alitumia gari lako bila ruhusa au kujua gari  lako liko wapi muda wowote  

faida nyingine tamu ya hichi kifaa bwana gari kwa mfano liko arusha na wewe uko dar es salaam una weza kulizima huko huko lilipo yaani kupitia simu yako uNAZIMA na kulock gari lilipo arusha ...technologia hiyoo chezea 

MAGARI YA BIASHARA ;

hapa kwa magari ya biashara  kama malory ,mabus ,kirikuu,daladala,magari ya michanga au magari ya ujenzi yale bajaj bodaboda pia changanya zote;

ukifunga kifaa hiki utaweza DAR GPS TRACKER: utaweza kujua MAFUTA yaliyopom kwenye tank la gari hata kama liko mkoa mwingine kupitia simu yako.hapa kama una dereva mwizi wa mafuta  utamkomesha haibi hapa hata siku moja  kwani mafuta yote utayaoona kwenye simu yako yanavyotumika

KULETA MAHESABU SAHIHI; kama una gari la biashara najua utakuwa unajua madereva wanavyoleta hesabu za uongo .kupitia kifaa hiki DAR GPS TRACKER: utaweza kujua  route za dereva wako alizopiga siku nzima hivyo kuleta mahesabu sahihi bila kudanganya kwa sababu  route zote utamuonesha kwenye simu

HAKINA MALIPO YA MWEZI UKINUNUA UMENUNUA WEWE NI KUTUMIA

PIGA AU WHATSAPP  0676 937 900